Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

January 25, 2015

VIDEO MPYA: YAMOTO BAND - "NITAKUPWELEPWETA".

Yamoto Band wametuletea video yao mpya inayokwenda kwa jina la NITAKUPWELEPWETA, imeongozwa na Adam Juma.