Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

January 30, 2015

VIDEO: KIONJO CHA VIDEO MPYA YA MADEE - "VUVULA".

 
Tupia macho kionjo cha video mpya ya wambo wa MADEE - "VUVULA" inayotarajiwa kuzinduliwa rasmi  mwezi Feb tarehe 7 kwenye ukumbi wa ufukwe wa bahari Escape One Mikocheni Dar es Salaam.