Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

January 17, 2015

VIDEO: BIG NATION MAFAYA FAYA - "MASSAWE".

Pata kutazama Video ya wimbo wa "Massawe"  kutoka kwa The Big Nation Mafaya Faya, akiwemo G Faya Faya, Eleven Dj na Taraa Sing, wakiwakilisha vyema Kaskazini mtaa wa Ilboru pande za Arusha. Video imeongozwa na Director Justinoo wa Kucaz Video na Audio imetoka Noizmekah Production Studios Chini ya @Defxtro Pakua audio