Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

January 23, 2015

NEW VIDEO: ATLAS Ft. LILIAN MBABAZI - "NEW DAY".

Video ya hip hop iliyokuwa ikisubiliwa sana nchini Uganda hatimae imekwisha dondoka machoni mwa mashabiki wa muziki Afrika Mashariki.