Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

January 21, 2015

NEW AUDIO: 909 - "SIKUBALI KUSHINDWA" (Download mp3)

909 waja tena kwa nguvu na Wimbo huu usemao sikubali kushindwa, wasikika ndani ya Wimbo huu wakisema “I used to be a problem, now am the solution” Sikiliza ngoma hii na wewe upate matumaini na ni uhakika ukiisikiliza mara moja tu, “sikubali kushindwa” itakuwa slogan ya Maisha yako.
.