Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

January 21, 2015

FILAMU MPYA YA (KIBONGO) YA JB - "MZEE WA SWAGGA"

Muigizaji, mtayarishaji na muongozaji wa filamu, Jacob Stevephen aka JB anatarajia kuachia filamu mpya wiki ijayo iitwayo Mzee wa Swagga.

Filamu hiyo iliyotayarishwa chini ya kampuni ya Jerusalem Film imeigizwa na wasanii mahiri akiwemo JB, Cassie Kabwita, Wastara, Wellu Sengo na wengineo....