Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

January 13, 2015

AUDIO: NAZIZI - "OVER YOU" (Download Mp3)

Wimbo mpya kutoka Super star wa Reggae, Ragga na Dancehall kutoka nchini Kenya – Nazizi. Wimbo unaitwa OVER YOU na umeandaliwa na Producer SAPPY.
Wimbo huu umetoka kwenye E.P. ya Nazizi iitwayo EVO LLUSION ambayo imetoka chini ya label ya Lovechild records.
.