Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

December 4, 2014

VIDEO YA GANGNAM STYLE ILIYOVUNJA REKODI YA Youtube KWA KUTAZAMWA SANA.

Video ya muziki ya msanii wa Korea Kusini, Psy, ‘Gangnam Style’, imepitiliza kiwango cha mwisho cha views za Youtube na hivyo kuufanya mtandao huo uongezee kaunta yake......