Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

December 6, 2014

PICHA ZA TEMBA , CHEGE NA MADEE WAKATI WAKITENGENEZA VIDEO YA WIMBO WAO MPYA (SOUTH AFRICA)


Chege na Temba na swahiba wao Madee wameshoot video ya wimbo wao waliourekodi hivi karibuni nchini Afrika Kusini. Video hiyo imeongozwa na Adam Juma.