Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

December 23, 2014

PICHA: DIAMOND PLATNUMZ AKUTANA NA RAIS KIKWETE.

Msanii nguli wa miondoko ya Bongo Flava maarufu kama Diamond Platnumz leo kupitia ukurasa wake wa Facebook ametupia picha akiwa na Rais Kikwete na kuandika hivi..........

"Thank you so much Mr president @jmkikwete .... daima nitaendelea kujituma na kuhakikisha naitumikia vyema nchi yangu #StateHouse #Earliertoday"