Header Ads

Breaking News
recent

PICHA: ALI KIBA ASHOOT VIDEO AFRIKA YA KUSINI.

 Staa wa ngoma ya MWANA na KIMASO MASO unaweza kumuita ALI KIBA, wiki hii alitupia baadhi ya picha zake kiwa AFRIKA ya KUSINI kipiga Video ya wimbo ambao hakuutaja.

 Wadau na mashabiki wa ALI KIBA kaeni tayari kukamata mzigo huo unaoandaliwa kule CAPE TOWN AFRIKA YA KUSINI........

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.