Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

December 29, 2014

NEW SONG: GRACE MATATA & MAUA SAMA - "HELLO" (Download).

Kama siku moja ulikuwa na ndoto ya kuwasikia mabinti hawa waili wasanii wa muziki wa kizazi kipya wenye sauti bomba - MAUA SAMA na GRACE MATATA katika wimbo kama huu, basi ndoto yako imetimia.... Wimbo unaitwa "HELLO".....