Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

December 20, 2014

NEW SONG: ANGEL BENARD - "LINDA MOYO WAKO" (Download mp3)

LINDA MOYO WAKO ni wimbo wa 8 kutoka kwenye album ya NEW DAY ya ANGEL BENARD:

"Ni inspirational song ambayo inalenga kuonya na kushauri namna mtu mwenye ndoto au maono fulani yatatimieje. Ni maneno yenye faida kumsaidia mtu namna ya kuishi na watu 'si kila achekae akupenda, tabasamu ni mwamvuli kuficha yalo ndani ya mtu' sasa ili kujiepusha na tabu na watu, jua we ni nani, unaenda wapi na waliokuzunguka ni watu wa namna gani."