Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

December 28, 2014

NEW AUDIO: MKUBWA NA WANAWE - "TULIA". (Download mp3)


Wimbo huu TULIA wa Yamoto Band aka Mkubwa na Wanawe ulikuwa umejificha kwenye catalog ya nyimbo ambazo wamerekodi lakini hawakuwahi kuachia rasmi. Ipate hapa sasa.......