NEW AUDIO: FEMCEEZ - TIFFAH, CHIKU KETO, AYLER, ILLUMINATION, NATTY E, STOSH & CINDY - "SHUJAA".MP3
Download ngoma mpya ya Femceez Tz akiwepo
Tiffah,Chiku Keto,Ayler,Illumination,Natty E,Stosh na Cindy Rullz kutoka
Grandmaster Records hapa....
Imekua
inspired na art of warrior (Serum&Manifesto), inatoka kwenye
mixtape ya kubwa kuliko ambayo inasimamiwa na John Blass(John B) wa
Grandmaster Records Arusha,mpaka sasa mixtape hiyo ina artists wengi
wakubwa na wadogo,wa ndani na nje ya Tanzania,wakiwemo G Nako,Niki
waPili,JCB,Thaiwanda,Cannibal,Kala Jeremiah,Ibra Da Hustla,Nakaaya,Leo
Mysterio,Stamina,Darasa,P The MC na wengine
.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA