Header Ads

Breaking News
recent

MAAJABU YA DUNIA YA BINTI WA MIAKA 28 KUKUNJA MWILI WAKE VILE ATAKAVYO.

 Kupitia mtandao wa MIrror umetupia picha za msichana ZLATA mwenye asili ya Russia aliyeanza mazoezi ya kukunja mwili wake tokea akiwa na miaka minne hadi sasa ana miaka 28 ambapo amefanikiwa kuvunja rekodi mbali mbali za dunia.

 ZLATA ambaye jina lake halisi ni Julia Guenthel mbali na kuvunja rekodi kadhaa za dunia, amesema ufundi na ujuzi wote huo wa kukunja mwili wake ataviweka katika Kalenda yake mpya ya mwaka mpya wa 2015.

Zlata mwenye umri wa miaka 28 huku akiwa na urefu wa futi 5 kwa sasa anaishi nchini Ujerumani.......

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.