Header Ads

Breaking News
recent

IDRIS SULTAN KUTOKA TANZANIA NDIYE MSHINDI WA BIG BROTHER AFRICA HOTSHOTS 2014.

Idris Sultan ndio mshindi wa Big Brother Africa Hotshots. Baada ya kutupa karata yake kwa takriban miezi miwili ndani ya jumba hilo lililopo nchini Afrika Kusini, Afrika imemchagua kuwa mshindi wa msimu huo wa Big Brother na hivyo kushinda kitita cha $300,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 514 za Tanzania.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.