Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

November 8, 2014

VIDEO: MWANA FA Ft. G-NAKO - "MFALEME".

Video ya ‘Mfalme’ ya Mwana FA f/ G-Nako imetoka rasmi mtandaoni. Video iliongozwa na kutayarishwa na Kevin Bosco Jr. wa Decent Media, Kenya.
.