Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

November 19, 2014

VIDEO MUSIC: DESIRE LUZINDA - "EKITONE".

Muimbaji wa Uganda Desire Luzinda ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Ekitone’, ikiwa ni ishara sasa amerejea katika maisha yake ya kawaida na kazi zake za muziki zinaendelea baada ya kutikiswa na kashfa ya kuvuja kwa picha zake za utupu hivi karibuni....
.