Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

November 21, 2014

VIDEO MPYA YA 'AY' - "TOUCH ME" KUACHIWA JUMATATU 24/2014.

Baada ya ahadi nyingi hatimaye AY ameweka mezani tarehe rasmi ya kuachia video ya wimbo wake aliomshirikisha Sean Kingston na Ms Triniti, itatoka Jumatatu Nov.24.

“Hello, It’s Me Again… Ha Ha Ha, Unaweza Kusahau Kila Kazi Ambayo Nimefanya Ili Tuanze UPPPPYAHH Na Hii?! S/O To @seankingston And Ms Triniti For Blessing This One, Some People Said This Will Stay On Airwaves For Sometime, And It Will Go Down As A Classic… I Believe Them Because That Was The Whole Idea.

Nasema Asante… Asante Sana.
The Release Date: 24.11.2014 MONDAY” AY ameandika kwenye mitandao ya kijamii.