Header Ads

Breaking News
recent

PICHA ZA MISS TANZANIA MPYA (2014) "LILLIAN KAMANZIMA"

 Baada ya kuwa na uvumi na mzozo wa hapa na pale kumhusu Sitti Mtemvu aliyekuwa miss Tanzania kabla, sasa hatimae ajivua Umiss na Taji hilo kukabidhiwa kwa aliyekuwa mshindi wa pili wa Miss Tanzania na Miss Arusha LILLIAN KAMANZIMA ambaye kwa sasa ndiye MISS TANZANIA 2014.

 Lillian amewaahidi watanzania kuwawakilisha katika shughuli mbali mbali za kijamii na mashindano ya dunia yani Miss World. Lillian anaumri wa mika 18 kwa mujibu wa chanzo chetu hapo chini....

Source: Bongo 5.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.