Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

November 24, 2014

NYIMBO MBILI MPYA ZA MSANII ROMA MKATOLIKI ZA NUKIA.

Roma Mkatoliki anatarajia kuachia nyimbo mbili kwa mpigo kabla mwaka haujamalizika. Miongoni mwa ngoma hizi ni pamoja na ile iitwayo One Two, One Two itakayokuwa ikiendana na siku yake ya kuzaliwa.