Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

November 1, 2014

NEW AUDIO: BEN POL & EMANUEL AUSTIN - "JUMP RUKA JUU". MP3

Sikiliza wimbo mpya wa mwalimu wa dance nchini Ujerumani, Emanuel Austin aliomshirikisha Ben Pol. Beat imetengenezwa na Fundi Samweli na sauti kuingizwa katika studio za Authentic za Dar es Salaam. (Source: Bongo5)