Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

November 27, 2014

CHRISTMAS SONG: DITTO LAMECK - "HERI YA KRISTMAS". (DownloadMP3)

Msimu wa Christmas ndiyo huu unakaribia sasa na huu ndo wimbo mpya maalum kwa Christmas kutoka kwa Lameck Ditto. Ditto ambaye ameandika nyimbo nyingi ambazo ni hits kubwa katika muziki wa Tanzania wimbo huu unaitwa “Heri ya Christmas”...
.