Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

November 19, 2014

AUDIO: WITNESZ - "CHUNGA MDOMO WAKO". MP3

Mwanadada anayesifika kwa michano ya kurap WITNESS ametoka kivingine kwa mara hii baada ya kuachia ngoma anayosikika akiimba, wimbo unaitwa "CHUNGA MDOMO WAKO"..Usikilize hapa...