Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

November 7, 2014

AUDIO: ANGEL BENARD - "NEW DAY" (Download). mp3

Wimbo wa 3 kutoka kwenye album NEW DAY ya Angel Benard, wimbo huu New day ndiyo unabeba jina la album. Katika huu wimbo siku ya jana inawakilisha "mambo yaliyopita" inaweza kuwa ni mtu, vitu, hali fulani n.k. Tunaiaga kwaheri na kukubali kuendelea na maisha yaliyopo mbele yetu. Hakuna kurudi nyuma.