Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

October 12, 2014

SONG: KHALID CHOKORAA Ft. MSAGA SUMU - "MANENO". (Download). mp3

Msanii Khalid Chokoraa ambaye pia ni bondia wa kulipwa anakuletea track yake mpya Maneno amabapo amemshirikisha mzee wa Kigodoro a.k.a Msaga Sumu. Hii ni colabo ambayo siyo ya kawaida lakini matokeo yake yamekuwa ni mazuri kupindukia. Download wimbo mpya sasa.