Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

October 29, 2014

NEW SONG: SUGU & PROF JAY - "MAKAMANDA". MP3

Mdau wa Mziki wa Kizazi kipya ndani ya Bongo na Kwingineko. Pokea kazi mpya toka kwa wakongwe hawa wawili katika kuihamasisha jamii ya ki TANZANIA kuhusu hali ya sasa na Uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015. Wimbo umefanywa Mwanalizombe Records chini ya Producer Villy. Enjoy