Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

October 21, 2014

MSANII WA TMK WANAUME FAMILY (YP) AFARIKI DUNIA.Aliyekuwa msanii wa kundi la TMKWANAUME FAMILY linaloongozwa na Mkubwa Said Fela alimaarufu kama YP amefariki dunia. Kwa mujibu wa Meeneja wa TMK Wanaume Family Said Fela amesema, YP amefariki kutokana na kuugua kifua,msiba uko nyumbani kwa baba ake Keko.

Pia msanii YP aliwahi kutamba sana katika nyimbo zake pamoja na za kundi lake kama ‘Dar mpaka moro’, ‘kichwa kinauma’, ‘Tufurahi’ aliyoshirikishwa na Y DASH – “Si ulipenda Pesa” na nyinginezo kibao.
Chanzo: annapita.com