Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

October 31, 2014

FILAMU MPYA YA RAY "V.I.P: THE PRESDENT'S DAUGHTER" SASA INAPATIKANA.

Filamu mpya ya Vincent ‘Ray’ Kigosi VIP: The President’s Daughter imeingia mtaani. Waigizaji wengine walioshiriki kwenye filamu hiyo ni pamoja na Jacqueline Wolper, Gabo na Hamisa Mobeto.