Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

October 24, 2014

AUDIO: YP Ft. DULLAYO - "MANYAMA NYAMA". MP3

Chukua nafasi kusikiliza wimbo mpya wa Marehemu YP msanii kutoka katika kundi la TMK WANAUME FAMILY tuliye mpoteza juzi. Wimbo unaitwa "MANYAMANYAMA" aliomshirikisha Dullayo....