Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

October 8, 2014

ALBUM MPYA YA ROSE MUHANDO - "YESU KUNG'UTA(WOLOLO) - (DOWNLOAD)

Mkito Exclusive | Msanii maarufu wa Injili Rose Muhando ajiunga na Mkito.com na kuachia album mpya!
Rose Muhando aliyewahi kutamba na nyimbo kama Nibebe, Moyo Wangu, Yesu Nakupenda na nyingine nyingi ametoa  ALBUM MPYA inaitwa  "YESU KUNG'UTA". Download hapo chini...
. . . . . . . .