Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

September 18, 2014

YOUNG DEE KUACHIA LEO WIMBO WAKE MPYA ALIOMSHIRIKISHA 'JUX'.

Baada ya kuachia wimbo wa rock, Rock Star, Young Dee ataachia ngoma nyingine Alhamis hii. Kwenye wimbo, Young Dee amemshirikisha Jux.