Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

September 2, 2014

NEW SONG: ZACHAA Ft. DIAMOND PLATNUMZ & GODZILLA - "MTOTO WA MAMA". MP3

Isikilize ngoma mpya kutoka kwa Producer Zachaa wa MJ Records, iitwayo ‘Mtoto wa Mama’ humu akiwa amewashirikisha Godzilla na Diamond Platnumz ambaye amechana humo ndani.