Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

September 27, 2014

NEW AUDIO: NAVY KENZO - "I JUST WANNA LOVE YOU". MP3 (Download).

Kundi la Navy Kenzo akiwemo producer Nahreel pamoja na Aika wametoa wimbo wao wa kwanza uitwao "I JUST WANNA LOVE YOU" kutoka kwenye album yao mpya iitwayo "NIROGE".

Navy Kenzo waliingia kwa nguvu kubwa wakiwa na style ya tofauti kabisa kwenye vibao kama CHELEWA na ONE DOLLAR ONE DAY na sasa wanakuletea album nzima! Producer Nahree...Bofya hapa chini...