Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

July 16, 2014

WIMBO WA PETER MSECHU Ft. AMINI - "NYOTA". MP3

Huu ndio wimbo mpya wa msanii PETER MSECHU aliomshirikisha AMINI, wimbo unaitwa "NYOTA" ambao pia umetengenezwa katika studio ya C9 Records... usikilize hapo chini..