Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

July 3, 2014

VIDEO YA SHETTA Ft. DIAMOND PLATNUMZ - "KEREWA".

Tazama hapa video ya Shetta aliomshirikisha Diamond Platnumz - "Kerewa", video hii ilitengenezwa Afrika ya Kusini na sasa imeanza kuruka katika kituo cha kimataifa cha MTV.