Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

July 4, 2014

MSANII MREMBO "SHAKIRA" NI MIONGONI MWA WANASII WATAKAO TUMBUIZA KATIKA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA 2014.

Mwanamuziki mwenye mvuto wa asili ya kikolombia ataungana pamoja na wasanii kama Wycleif Jean na Carlos Santana pamoja na wengineo katika kutumbuiza katika fainali za kombe la dunia hiko Rio de Janeiro, Brazil Julai 13, 2014.