Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

July 31, 2014

MCHEKESHAJI KUTOKA UGANDA 'ANNE KANSIIME' WASIRI NCHINI.

Mchekeshaji kutoka nchini Uganda maarufu kma ANNE KANSIIME tayari amekwisha wasiri jijini Dar es salaam, ambapo tarehe 2 August katika ukumbi wa Golden Tulip atawavunja mbavu watu kibao watakaofika kumtazama mchekeshaji huyo mwenye kipaji asilia.