Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

July 14, 2014

DOWNLOAD KIPINDI KIPYA CHA RADIO - "DANGER ZONE LIFE". MP3


Kile kipindi cha kijamii cha Radio kilichokuwa kikiruka katika mitandao ya blogs hapa Tanzania sasa kimerudi katika muonekano mpya ambapo kinalenga kuwasaidia watu hasa vijana kujitambua katika maisha yao ya kila.

Katika kipindi hichi utasikia tabia chafu za wasio jitambua kuwafanyia wenzao vitendo vya ukatili, na hii imetokea jana hapa nchini...sasa sikiliza yaliyojili hapo chini....