Header Ads

Breaking News
recent

VIDEO: "JUMA NATURE, JAY MO & PROFESA JAY" NDANI YA VIKOSI VYA "JWTZ". TAZAMA VIDEO HII.

Wasanii manguli wa Tanzania ambao majina yao yanaanzia na J, Juma Mchopanga a.k.a "Jay Mo", Joseph Haule a.k.a "Profesa Jay" na Juma Cassim a.k.a "Nature" wameingia studio kufanya ngoma mpya iitwao ‘JWTZ’. Wimbo huo pamoja na video yake vimefanyika kwenye studio za Williamz Visions chini ya mtayarishaji Mike Mwakatundu aka Mike T. Tazama video inayoonesha.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.