Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SASA FURAHIA KUTIZAMA (ASILI TV ONLINE) KILA WAKATI

June 1, 2013

MAZISHI YA MSANII ALBERT MANGWEA KUFANYIKA MOROGORO BAADA YA MWILI KUAGWA DAR ES SALAAM.Habari kutoka kwa wanakamati wa mipango ya mazishi ya marehem Albert Mangwea zinasema kuwa mwili wa marehem Ngwea utafika Dar siku ya jumapili saa nane mchana na sio jumamosi kama ilivyo arifiwa hapo awali… 

Mwili huo utaagwa siku ya jumatatu saa mbili mpaka saa sita machana ambapo safari itaanza kuelekea Morogoro kwa ajili ya mazishi.

R.IP NGWEA.