Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SASA FURAHIA KUTIZAMA (ASILI TV ONLINE) KILA WAKATI

March 26, 2013

STAA WA TAMTHILIA YA MARA CLARA MAARUFU KAMA "MARA" LEO AMETIMIZA MIAKA "17".

 Muigizaji wa Tamthilia ya "Mara Clara" inayotamba Star Tv ambae ni maarufu kama "MARA" leo hii ametimiza miaka 17.
Mara mwenye mashabiki mamilioni duniani ameonekana kuwateka zaidi mashabiki wa tamthilia za kiphilipino zinazorushwa hapa nchini kupitia kituo cha luninga cha Star Tv na kwingineko duniani kama ABS - CBN.

 Usiku staa huyu aliimbiwa Happy Birthday na marafiki zake pamoja na ndugu na jamaa wa karibu.


Mara akiwa na rafiki yake Clara (kulia) ambae ndiye adui yake katika tamthilia ya "Mara Clara".